June 20, 2017
Unaweza kusema kumenoga, maana Katibu Mkuu wa Mbeya City, Emmanuel Kimbe amechukua fomu kuwania Urais wa TFF.

Kimbe amechukua fomu leo na kuirejesha fasta tayari kwa kinyang’anyiro hicho Agosti 12 mjini Dodoma.

Katibu huyo wa Mbeya City, anakuwa ni mgombea wa 10 kujitokeza kuwania Urais wa TFF akiwemo anayekilishikilia kiti hicho, Jamal Malinzi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV