Manchester United imeamua kuimarisha kikosi chake hasa katika safe ya ulinzi baada ya kumsajili beki kisiki aliyekuwa anakipiga Benfica, Victor Lindelof.
Timu hiyo ya Ureno imelamba pauni million 30.7 kumuachia LIndelof aria Sweden.
Kocha Jose Mourinho wa Man United alisema iwe isiwe, lazima ampate beki huyo mwenye umri wa miaka 22.
MJUE LINDELOF
Amezaliwa: July 17, 1994 in Vasteras, Sweden (age 22)
Urefu: 6ft 2in
Nafasi: Centre-back / Right-back
REKODI ZAKE KWA TIMU
2010-2012: Vasteras Mechi 41, Mabao 0
2012-2016: Benfica B Mechi 96, Mabao 4
2013-2017: Benfica Mechi 73, Mabao 2
2017-: Manchester United
REKODI ZAKE TIMU YA TAIFA
2016-: Sweden Mechi 12, Bao 1
0 COMMENTS:
Post a Comment