June 15, 2017

Floyd Mayweather amerejea tena ulingoni baada ya kuwa ametangaza rasmi kustaafu.

Mayweather ambaye hajawahi kupigwa atapanda ulingoni kuzipiga dhidi ya McGregor ambaye ni bingwa wa mchezo wa ngumi na mateke.

Pambano la ngumi la wawili hao litapigwa Agosti 26 jijini Las Vegas nchini Marekani.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV