June 20, 2017


Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Urais katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Masolwa amerejesha fomu.

Masolwa alikuwa kati ya watu wa mwanzo kujitokeza kuwania nafasi hiyo inayoshikiriwa na Jamal Malinzi.

Amerudisha fomu hiyo leo akionyesha yuko tayari kwa ajili ya uchaguzi wa Agosti 12 mjini Dodoma.






0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV