June 20, 2017
Victor Wanyama yuko nchini kwa mapumziko mafupi.

Kiungo huyo wa Tottenham Hotspurs amesema atakuwa nchini kwa mapumziko mafupi akisubiri maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.


“Ni mapumziko ya muda mfupi, kabla ya kurejea kazini. Nimechagua kupumzika Tanzania,” alisema Wanyama ambaye pia ni nahodha wa Harambee Stars

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV