June 15, 2017


Mshambulizi hatari wa AS Monaco, Kylian Mbappe ameibuka akiwa na mwonekano mpya kabisa.

Mbappe ameonekana akiwa pamoja na kaka yake aitwaye Jires Kembo Ekoko. Lakini mwonekano wa mshambulizi huyo uko tofauti kwa kuwa amepaka nywele zake rangi.


Rangi hizo za nywele zinamfanya aonekane tofauti kabisa lakini mwenye anaonekana ni mwenye furaha sana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV