BAADA YA KUONA MAMBO SI SAFI, CHELSEA WAREJEA GYM TENA Mabingwa wa England, Chelsea imeendelea na mazoezi na sasa wako gym. Chelsea imerejea gym kwa ajili ya kuongeza nguvu baada ya kucheza mechi kadhaa za michuano ya ICC.
0 COMMENTS:
Post a Comment