July 24, 2017


Kiungo mkongwe wa JKT Ruvu, Hassan Dilunga ametua Mtibwa Sugar. Ruvu iko mkoani Pwani.

Dilunga amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro.


Pamoja na kuichezea JKT, Dilunga amewahi kuichezea Yanga ya Dar es Salaam ambako alishindwa kuonyesha cheche zake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic