July 25, 2017





Mkurugenzi wa ulinzi wa data kwenye mtandao wa StarMedia, Zhen amefanya ziara nchini.

Zhen amefanya ziara ya sehemu mbalimbali na kutembezwa na Makamu wa Rais wa StarMedia, Carter Luo.

Akiwa nchini Zhen ametembelea vitengo mbalimbali vya kampuni hiyo hapa nchini.

Zhenalifika katika kitengo cha setelaiti inayotumika katika urushaji wa matangazo, alitembelea maduka kadhaa ya StarTimes upande wa TBC Shop na kadhalika.


King’amuzi cha StarTimes ni kati ya vile vinavyoangaliwa na watu wengi zaidi nchini na kimekuwa kivutio kwa watu wengi kutokana na unavuu wa bei.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic