Nyota wa FC Barcelona, Gerard Pique, Sergio Busquets na Jordi Alba wake nchini Qatar ambako wametembelea Akademi maarufu ya Aspire Academy iliyopo jijini Doha.
Mbali na kutembelea akademi hiyo, nyota hao wamepata nafasi ya kujiachia katika sehemu mbalimbali ikiwemo Jangwani.
0 COMMENTS:
Post a Comment