July 28, 2017Wayne Rooney amerejea kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Goodson Park na kuichezea Everton mechi yake ya kwanza ya mashindano dhidi ya Ruzemberok ya Slovakia.

Everton imeshinda kwa bao 1-0 katika mechi hiyo ya awali ya michuano ya Europa League, shujaa akiwa beki mkongwe Leighton Baines.

Tayari imetimia miaka 14 tokea Rooney alipoondika Everton na kujiunga na Man United lakini sasa amerejea na kujiunga na timu hiyo.


Everton (4-2-3-1): Stekelenburg 7; Martina 6, Keane 7, Williams 6, Baines 7; Gana 6, Schneiderlin 6; Mirallas 7 (Lookman 82), Klaassen 7.5 (Davies 86), Calvert-Lewin 6.5 (Ramirez 61, 7); Rooney 7.
Subs not used: Pickford (GK), Jagielka, Ramirez, Barry, Holgate.
Goal: Baines 65


Ruzemberok (4-1-4-1): Macik 7; P Maslo 6, J Maslo 7, Kruzliak 6, Kupec 6; Qose 7; Daniel 6, Takac 7 (Kostadinov 72, 6), Kochan 6, Gal-Andrezly 6 (Gerec 89); Haskic 6 (Lacny 83).

Subs not used: Hajduch (GK), Curma, Menich, Sapara.
Booked: Kupec, Haskic
Referee: Georgi Kabakov (Bulgaria) 7
MOTM: Davy Klaassen
Attendance: 32,124 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV