July 24, 2017


Kikosi cha Singida United cha Hans van der Pluijm kitaanzia Ligi Kuu Bara mjini Shinyanga dhidi ya Mwadui FC.

Baada ya hapo, kitarejea mjini Mwanza kuivaa Mbao FC kabla ya kuivaa Stand United.

Kikosi hicho kitacheza mechi ya nne tena kanda ya Ziwa dhidi ya Kagera Sugar kabla ya kuanza safari ya kwenda Dar es Salaam kwa mara ya kwanza kucheza mechi yake ya ligi dhidi ya Azam FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic