July 24, 2017


Katika mechi zake tano za mwanzo za Ligi Kuu bara itakayoanza Agosti 26, Azam FC itakuwa nyumbani katika mechi nne.

Azam FC itaanza mechi yake ya ufunguzi ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza ugenini dhidi ya Ndanda FC na baada ya hapo itarejea Azam Complex.


Baada ya kurejea Azam Complex, mechi nne zinazofuaria dhidi ya Simba, dhidi ya Kagera Sugar, Lipuli na Singida United.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic