July 28, 2017


Uongozi wa SportPesa umetua nchini Uganda na kufanya mazungunzo na Rais wa nchi huyo, Yoweri Museveni.

Uongozi wa SportPesa ukiwemo ule wa SportPesa Tanzania ukiongozwa na CEO, Pavel Slavkov pamoja na Mkurugenzi wa Uendeshaji, Abbas Tarimba.

Leongo la ziara hiyo ilikuwa ni kukutana na Rais huyo wa Uganda ni kuzungumzia uwezekano wa kuwekeza Uganda.


Tayari SportPesa imewekeza nchini pamoja na Kenya na sasa inaangalia kuwekeza nchini Uganda.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV