July 27, 2017


#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni
Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1


MADA ZA LEO: Wachambuzi watachambua mapambano ya ngumi yaliyofanyika Dar Live hivi karibuni, Uchaguzi wa TFF utakaofanyika mwezi Agosti na usajili kwa ujumla wa timu za Ligi Kuu Bara.

Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi saa kumi kupitia Global TV Online.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV