August 27, 2017


Baada ya kufunga mabao mawili na kuiwezesha Barcelona kuichapa Alaves, Lionel Messi amefikisha mabao 350 ya ligi akiwa na timu moja.

Hiyo inamfanya kuwa mchezaji wa pili kufanya hivyo, akifunga mabao yote 350 akiwa na klabu moja.

Kabla, Mjerumani Gerd Muller alikuwa anashikilia rekodi hiyo ya mabao 350 akiwa na timu moja katika ligi zote tano kubwa za Ulaya ambazo ni Premier League, La Liga, Bundesliga, Serie A na League 1.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic