August 29, 2017



Kocha wa zamani wa Simba, Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’ amesema ni mapema sana kuitabiria Simba ubingwa kwa sasa.
Julio amesema mara kadhaa, Simba huanza kwa kasi kubwa na baadaye inamaliza vibaya,
“Ni suala la kusubiri kwanza na kuangalia itamali vipi. Kusema sasa Simba ni bingwa ni makosa,” alisema.
Julio alikumbushia msimu uliopita namna Simba ilivyoanza vizuri na kumaliza vibaya.

Simba imeanza ligi kwa kishindo kwa kuiripua Ruvu Shooting kwa mabvao 7-0 katika mechi ya ufunguzi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic