August 5, 2017


Unaweza ukadhani ni mwenyeji maana Neymar mara moja ameanza mazoezi na kikosi chake kipya cha PSG akionyesha ni mwenye furaha hasa.

Neymar amejiunga na timu hiyo ya Ufaransa kwa dau kubwa la usajili linalokadiriwa kufikia pauni miloni 198 na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi duniani.

Neymar alionekana mwenye furaha akiwa na Wabrazil wenzake, Luca Moura na Dani Alvez.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV