August 5, 2017


Sasa hakuna ubishi tena kwamba Mo Farah wa Uingereza ndiye Mfalme wa mbio ndefu za Mita 10000.

Farah mwenye asili ya Somalia ameibuka na ushindi katika mashindano ya Ubingwa wa dunia yaliyofanyika jijini London, usiku wa kuamkia leo.

Mganda Joshua Kiprui Cheptegei alijitutumua na kushika nafasi ya pili na nafasi ya tatu ikaenda kwa Mkenya Paul Kipngetich Tanu


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV