August 28, 2017


Pamoja na kupokea kipigo kikali kutoka kwa Floyd Mayweather, mkali wa UFC, Conor McGregor amejumuika na mashabiki na kufanya bonge la pati.

McGregor alipigwa kwa TKO na Floyd Mayweather katika raundi ya 10.

Pamoja na kujumuika na mashabiki, McGregor alilipa pauni 77,643 (Sh milioni  278) kwa mashabiki waliokuwa ndani ya klabu hiyo ya usiku.

McGregor alijumuika na mashabiki katika klabu ya Encore Beach jijini Las Vegas nchini Marekani.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic