August 20, 2017



Wanachama wa Simba wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wao unaotarajia kufanyika leo kuhusiana na suala la mabadiliko ya klabu yao.

Idadi kubwa ya wanachama hao imeonekana ikiingia katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ikionyesha uitikio mkubwa.
Wanachama hao watakuwa na nafasi ya kubungua bongo na kuangalia kipi sahihi kipi la kuhusiana na mabadiliko hayo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic