September 17, 2017


Real Madrid imeitwanga Real Sociedad kwa mabao 3-1 katika mechi ya La Liga.

Licha ya kuwa ugenini, Madrid imeibuka na ushindi huo huku mshambuliaji wake, Gareth Bale akiamka na kufunga bao la tatu.

Juzi, Kocha Zinedine Zidane alimueleza Bale anatakiwa kuonyesha zaidi ya kile anachofanya kwa sasa.

Huenda hali hiyo imechangia kuongeza juhudi na kufunga bao hilo la tatu.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic