September 12, 2017


Rayon Sports imepata pigo baada ya kipa wake kuanguka na kupoteza fahamu, baadaye kupoteza maisha.

Evariste Mutuyimana alifanya mazoezi na wenzake jana, lakini leo alianguka na kukimbizwa hospitali ambako alifariki dunia.

Kwa mashabiki wa soka wa Tanzanzania, watamkumbuka wakati alipoichezea Rayon Sports katika mechi iliyopoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Simba.


Mechi hiyo ilikuwa ni ya Simba Day kwenye Uwanja Taifa jijini Dar es Salaam ambayo alidaka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic