September 17, 2017



Bondia Gennady Golovkin maarufu kama GGG, ni hatari maana ameweza kumaliza ubishi kwa kumtwanga Canelo Alvarez kwa pointi.

Golovkin ameshinda kwa pointi 118-111 huku ikionyesha alipoteza raundi 2 tu kati ya 12 ambazo ni raundi ya pili na ya 10 lakini zilizobaki zote aliibuka na ushindi.

Kabla ya mabondia hao kuvaana jijini Las Vegas, Marekani kulikuwa na ubishi nani atakuwa zaidi huku wengi wakiamini Alvarez hapigiki.



















5 COMMENTS:

  1. Sio kweli, mpambano umeisha kwa sare labda kama ulikuwa na pambano lako

    ReplyDelete
  2. Dah sijatarajia kama tutapotoshwa ila ndio waandishi wetu . But pambano limeisha kwa draw

    ReplyDelete
  3. Dah sijatarajia kama tutapotoshwa ila ndio waandishi wetu . But pambano limeisha kwa draw

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic