September 29, 2017


Kikosi cha Manchester City kimewasili jijini London kwa ajili ya mechi yao ya Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea, kesho Jumamosi.

Man City ilisafiri kwa treni tokea Manchester kwenda London, umbali wa saa mbili na dakika 15.

Kikosi hicho kikiwa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola kinaonyesha kipo tayari kwa ajili ya mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu kubwa kutokana na ushindi mfululizo wa mabao mengi wa Manchester City.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic