September 29, 2017


Sadio Mane amerejea kazini hasa kwa kuwa kesho ataitumikia Liverpool tena katika Ligi Kuu England dhidi ya Newcastle United, keshokutwa.

Kama unakumbuka alikutana na rungu la adhabu baada ya kumuumiza kipa wa Manchester United.

Lakini katika mazoezi ya leo ya Liverpool, Kocha Jurgen Klopp alionekana ni mwenye furaha baada ya kuwa na uhakika wa Mane ambaye yuko tayari.

Mwendo wa Liverpool umekuwa ni wa kusuasua na kurejea kwa Mane, huenda kukasaidia kikosi hicho kurejesha nguvu yake ya mashambulizi.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic