September 16, 2017

 



Yanga waliokuwa ugenini leo walilazimika kupambana kupata bao la kusawazisha baada ya wenyeji wao Majimaji waliokuwa nyumbani mjini Songea kutangulia kufunga.

Mechi ilikuwa kali hasa, yenye ushindani wa juu lakini mwishoni sare ya mabao 1-1 ilitoa matokeo ya mwisho. Angalia picha kadhaa za action katika mechi hiyo.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic