September 19, 2017


Mshambulizi Emmanuel Okwi amekabidhiwa kitita chake cha Sh milioni moja yake.

Sh milioni moja hiyo baada ya kuibuka Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Bara mwezi Agosti.


Vodacom ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara ndiyo waliotoa zawadi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic