September 19, 2017


PSG imetumia kitita cha pauni million 253 kusajili wachezaji wawili tu, yawn Neymar na Edinson Cavani.

Lakini sasa wawili hao hawaelewani baada ya kuonekana wakigombea mpira wakati PSG ilipopata adhabu katika mechi dhidi ya Monaco na baadaye PSG ilipopata penalti, suala hilo likajirudia tena.


Taarifa zinasema, wakati wakiwa wanakwenda vyumbani, wenzao walilazimika kuwaamua baada ya kuanza kuzozana licha ya timu yao kushinda kwa mabao 2-0.


Neymar na Cavani, walianza kuwa gumzo baada ya kuunganishwa na Kylian Mbappe aliyetokea Monaco na kujenga MCN.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic