September 2, 2017





Taifa Stars imeshinda kwa mabao 2-0 katika mechi yake ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Botswana.

Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Simon Msuva ndiye aliyefunga mabao yote mawili.

Msuva aliyepata umaarufu akiwa Yanga, sasa anakipuga Difaa Al Jadid ya Morocco na alichelewa kujiunga na wenzake.

Lakini leo alionyesha kuwa uhai wa timu katika ushambulizi huku akipiga mabao hayo mawili safi kabisa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic