FT: Mpita umekwisha Tanzania 2- 0 Botswana, Mabao yote yamefungwa na Simon Msuva dakika ya 20, dakika ya 60
Dakika zimeongezwa 4 , Stars 2 Botswana 0. Mabao yakifungwa na Simon Msuva dakika ya 20, dakika 60
Dakika ya 90 + 4 Botswana wanaendelea kuchuana na Taifa Stars
Dakika ya 88 Botswana wanashambulia na kukosa bahati
Dakika 87 Mabadiliko Stars inamtoa mchezaji, Khamisi Abdallah anaingia Said Ndemla, Mbwana Samatta anatoka anaingia Elius Maguli
Simon Msuva ametoka
Dakika ya 85 Timu zote zinashambuliana kwa zamu bado Botswana wapo nyuma bao 2- 0
Dakika ya 89 Mshambuliaji wa timu ya Botswana anakosa bao yeye na kipa
Dakika ya 84 Taifa Stars wanashambulia wanakosa kufunga
Dakika ya 82 Msuva anatafuta bao la tatu anakosea
Dakika ya 77' Tanzania bado wanaongoza bao 2- 0 huku timu ya Botswana wakishambulia lango letu
Dakika ya 65' Tanzania 2-0 Botswana ⚽⚽Msuva
MAPUMZIKO
Dakika ya 46 Stars 1 mfungaji Msuva, Botswana 0, Dakika 3 zimeongezwa kuelekea mapumziko
Dakika ya 28' Tanzania 1-0 Botswana ⚽Msuva
Dakika ya 8' Tanzania 1-0 Botswana
Dakika ya 1 mpira umeanza timu zote zipo vizuri
Mnatuchanganya kwa habari tata,je bao la kwanza ni dakika ya 8 au ya 20?
ReplyDeletePongezi kwa Stars tutapanda angalau nafasi kadhaa.