October 17, 2017



Mshambuliaji John Bocco sasa uhakika ataikosa mechi Njombe mji wikiendi ijayo.

Bocco aliumia katika mechi iliyopita wakati Simba ikiivaa Mtibwa Sugar na kupata sare ya bao 1-1.

Bocco alitolewa nje na nafasi yake kuchukuliwa na Juma Liuzio katika mechi hiyo ambayo Simba walipata bao la kusawazisha katika dakika za nyongeza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic