October 6, 2017


Klabu ya Bayern Munich imethibitisha kumrejesha kocha wake wa zamani, Jupp Heynckes, kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti aliyetimuliwa.

Heynckes mwenye umri wa miaka 72 alikuwa amestaafu, lakini amekubali kurejea Bayern na atakuwa kocha kwa muda hadi watakapokaa sawa na kumpata kocha wanayemtaka.


Kocha huyo anakumbukwa kwa kuipa Bayern makombe matatu katika msimu wa 2012-13.

Heynckes aliondoka akiwa na mafanikio makubwa wakati Pep Guardiola alipochukua nafasi yake.

 TAKWIMU:
1987-91: P198, W113, D46, L39 W% 57.1
2009: P 5, W 4, D1 L0 W% 80
2011-13: P109 W83 D12 L14 W% 76.2
TOTAL: P312 W200 D59 L53 W% 64.1
HONOURS: Bundesliga x3 (1989, 1990, 2013), German Cup (2013), Champions League (2013)


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic