October 17, 2017




Gor Mahia imeitwanga Kariobang Sharks kwa mabao 3-1 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Kenya.

Gor Mahia inanolewa kocha wa zamani wa Simba, Dylan Kerr imeshinda mechi hiyo leo na kukamilisha safari yake ya ubingwa msimu.

Kerr ambaye ameichukua timu hiyo nusu msimu, amepata sare mbili, kapoteza moja na kushinda zilizobaki.

Kerr amefanikiwa kuchukua ubingwa na Gor Mahia akiwa na mechi tatu mkononi.

Mechi yake ya kwanza alipoteza kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam akicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Everton FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic