October 15, 2017



Clement Sanga ameibuka na ushindi na kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi baada ya kupata kura 10.


Sanga amepata kura hizo 10 na kumuangusha mpinzani wake Yahaha Mohamed aliyepata kura 6.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic