October 2, 2017


Beki wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Eboue amepatikana na tatizo la afya na kulazimika kukimbizwa nchini England kwa matibabu.

Wakala wake, Tekin Birinci amethibitisha kuwa Ebou ana tatizo la afya ingawa hakutaka kuweka wazi ni kipi.

Pamoja na hivyo, Eboue raia wa Ivory Coast anayekipiga nchini Uturuki, amekuwa hayuko vizuri lakini hakujua tatizo ni nini.


Lakini baadaye imegundulika kuwa ana upungufu wa damu mwilini na wengine wamekuwa wakisema ni matatizo ya moyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic