October 2, 2017



Wakati Manchester United imeonyesha kuwa na nia ya kumsajili mshambulizi nyota wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann, rafiki yake amesema atamuuliza kama anaweza kujiunga na Arsenal.

Rafiki yake ni Alexandre Lacazette, mshambulizi mpya hatari wa Arsenal. 


Kauli ya Lacazette inaonekana ni utani kwa kuwa ni rafiki wa karibu wa Griezmann na sasa wako Marekani wanakula bata pamoja.

Kauli yake, baadhi ya mashabiki wa Manchester United hawajataka kuichukulia ni utani, badala yake wameanza kumshambulia kwa maneno kwamba “asahau” kwa kuwa Griezmann hawezi kwenda timu kama Arsenal.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic