October 21, 2017


Wayne Rooney ameonekana katika kambi ya Manchester United katika Hoteli ya Lowry jijini Manchester.

Rooney alionekana akiingia katika hoteli hiyo takribani saa moja kabla ya kikosi cha Man United chini ya Jose Mourinho hakijaingia kambini hapo.


Baada ya kikosi hicho kuingia kambini hapo, saa moja baadaye Rooney alionekana akitoka hotelini hapo.

Baadaye ilielezwa Rooney ambaye mambo yake si mazuri sana alikwenda kusaini jezi zake kwa ajili ya masuala ya misaada.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic