October 15, 2017


Chini ya Kocha Jupp Heynckes aliyerejea baada ya kutimuliwa kwa Carlo Ancelotti, Bayern Munich imeanza kwa kuitwanga Freiburg kwa mabao 5-0.

Katika mechi hiyo ya Bundelisga, Bayern ingeweza kushinda kwa mabao mengi zaidi.


Mabao ya Kingsley Coman, Thiago, Robert Lewandowski, Joshua Kimmich na moja la kujifunga imeifanya Bayern irejee katika mwendo wake uliozoeleka.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic