October 21, 2017




Pamoja na Simba kuitwanga Njombe Mji kwa mabao 4-0, Mtibwa Sugar na Lipuli ni kati ya timu zilizoibuka na ushindi leo.

Mtibwa Sugar ikiwa nyumbani imeshinda kwa bao 1-0 dhidi ya timuj ngumu ya Prisons na Lipuli imeitwanga Majimaji kwa bao 1-0 pia.

Wakati Azam FC iliyokuwa jijini Mwanza, imeambulia sare nyingine Kanda ya Ziwa baada ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Mbao FC.


MATOKEO:
Mtibwa 1-0 Prisons

Lipuli 1-0 Majimaji

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic