October 2, 2020

10 COMMENTS:

  1. Sioni mantiki kuchukuliwa muzamir yasin na ndemla akaachwa mudathir yahya na ayubu liyanga! Au kwa 7bu kocha niwasimba!

    ReplyDelete
  2. Xaxa nyinyi mmeanza ujinga wa cmba na ynga ni hvi wote ni wa taifa kocha ndo kaona nani anamfaa maswala ya upenzi na tmu zenu hukohuko

    ReplyDelete
  3. Huu upuuzi wa usimba na uyanga hadi Kwenye Timu yetu ya Taifa kweli watanzania tubasilike, unapokosoa mara nchimbi hafai mara ndemla toa sababu ila siyo kuongea kwa kuwa we ni shabiki wa timu fulani basi ndo ulopoke

    ReplyDelete
  4. Chukua ukocha. Ufundishe wewe.

    ReplyDelete
  5. Nchimbi kacheza mechi ngapi hajafunga goli sio kutoa mapovu kazi ya mfungaji ni kufunga

    ReplyDelete
  6. Kaaani mkijua timu ya tarifa ya wote kW pamoja hivi emesahu kuwa mchimbi ndo katuvusha kule sudan ....Au onaongeaa Bila kujua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha historian we angalia uhalisia kwani wewe hujui erasto nyoni aliifunga bukinafaso kwao enzi za Maximo nakupata points muhimu

      Delete
    2. Nyinyi ndio mnajiita mabingwa wa historia maana mnaishi kwa historia mtu kazi kukimbia tu hana impact yoyote kwenye mechi

      Delete
  7. Hakika kikosi ni kizuri sana na nimefurahi mmaingizo mapya kama ya wachezaji wawili wa KMC ambao ni mawing back inaonyesha jinsi gani kocha anaifuatilia ligi yetu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic