Klabu ya Mbao FC imeingia kwenye orodha ya klabu zinazomiliki usafiri wake.
Mbao FC leo imekabidhiwa basi na wadhamini wake kampuni ya GF Trucks & Equipment LTD.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angella Mabula ambaye amekuwa akiunga mkono michezo katika mkoa wa Mwanza alikuwepo kukabidhiwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment