October 12, 2017


Kikosi cha Simba Queens, kimeitwanga Tanzanite kwa mabao 3-0 na kufanikiwa kupanda hadi Ligi Kuu Bara.

Kikosi cha Simba Queens walikuwa wakikipiga kituo cha Dar es Salaam.

Ligi Kuu Bara kwa upande wa wanawake inatarajia kuanza mwezi ujao na Simba pamoja na Alliance iliyopanda jana baada ya kushinda mechi zote katika kituo cha Dodoma ndiyo watakuwa wageni wapya.


Katika mechi ya kwanza ya kituo cha Dar es Salaam, Simba Queens iliitwanga Kisarawe kwa mabao 8-0.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic