October 10, 2017


Kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo na kuanza kujifua tena.

Mechi inayofuata itashuka dimbani wikiendi ijayo kuivaa Kagera Sugar nyumbani kwake Kaitaba.

Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara bado hawana mwenendo mzuri sana kutokana na kuandamwa na majeruhi.

Yanga imejifua kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic