November 12, 2017



Kikosi cha mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara, Yanga kesho kinarejea mazoezi ya gym.


Yanga watafanya mazoezi ya gym wakiwa wanarejea mazoezini baada ya mapumziko ya siku mbili.

Kikosi cha Yanga kilipumzishwa Jumamosi na leo Jumapili na kesho kama kawa.


Kwa mujibu wa maelezo ambayo SALEHJEMBE imeyapata keshokutwa watarejea tena na mazoezi ya uwanjani

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic