November 12, 2017




Wigo wa washindi wanaopatikana kupitia shindano la SHINDA NA SPORTPESA unazidi kutambaa baada ya Ismail Abdallah Yusuph wa Arusha kuibuka na ushindi.

Ismail ambaye alipashiri na Sportpesa, amefanikiwa kuwa mmoja wa washindi waliofanikiwa kushinda Bajaj ya kisasa na ngumu aina ya TVS King.


Bajaj 100 zitatolewa na kampuni hiyo kubwa zaidi ya michezo ya kubashiri nchini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic