November 18, 2017





Mshindi wa droo ya 18 katika Promosheni ya Shinda na SportPesa Juviniki Edward Msambule (21) mkazi wa Makambako Iringa, akikabidhiwa pikipiki ya matairi matatu aina ya TVS King Dexule na mkuu wa wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri. 

Mshindi alionesha furaha kwa zawadi hiyo na kusema kuwa SportPesa imebadilisha maisha yake, kwani sasa anauwezo wa kuingiza kipato cha uhakika kila siku ukilinganisha na kazi yake ya awali ya ujenzi wa kujigemea ambayo haina uhakika wa kibarua cha kila siku.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic