November 19, 2017





Mshambuliaji Edinson Cavani amethibitisha kuwa kuanzia mechi ijayo kama watapata pigo la penalti, atakayepiga atakuwa ni Neymar.


Cavani raia wa Uruguay amesema Kocha Mkuu wa PSG, Unai Emery ndiye aliyemkabidhi Neymar kazi hiyo.

Neymar na Cavani waliwahi kugombea kupiga mkwaju wa penalti lakini mwishoni, Cavani akapiga na kukosa.

Lakini mwishoni, Emery ameamua kumpa nafasi hiyo Neymar.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic