November 19, 2017


Yanga imeonyesha kuwa kweli imepania kutetea ubingwa wake baada ya kuichapa Mbeya City kwa mabao 5-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wake, Obrey Chirwa raia wa Zambia ametakata vilivyo baada ya kufunga mabao matatu, hat trick.

Picha hizi hapa zikionyesha kipute hicho.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic