November 13, 2017


Cristiano Ronaldo sasa ana watoto wanne ndani ya miaka michache tu.
Hii ni baada ya mpenzi wake Georgina Rodriquez, 22, kujifungua mtoto wa kike na Ronaldo na mpenzi wake wa kwanza wa kiumbe Ronaldo Jr walionekana ni wenye furaha.

Mpenzi wake huyo alijifungua katika hospital ya Quiron Universal jijini Madrid, Hispania.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic